Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Bei imeshuka kutoka laki mbilli sasa ni laki NA sabin (170,000)
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO BAJAJ ZIPO
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri lipo pempeni tuu
Nyumba hii ipo mazingira matam
Ipo ndani ya fensi
Inajitegemea umeme NA maji
___________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki NA sabin tuuu
(170,000)
X 6
Kwa huduma ya halaka
Piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 0779646072
0713545127 WhatsApp
Masele kimara raisi wa madalali kimara