Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 450,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UMEFIKA NYUMBANI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENSI INAMALIZIWA KUJENGWA PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI