Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







UWANJA UNAUZWA UPO KIMARA KOROGWE
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BEI
MILIONI 55
UPO MAENEO YA MSIKITI WA UDONGO KILUNGULE (B)
UWANJA NI MKUBWA UNA SQM 1000
UNAWEZA JENGA APARTIMENT ZA KUTOSHA ZA KUPANGISHA ATA NYUMBA YA KUISH
UWANJA MZURI SANA
AUNA KIPENGELE CHOCHOTE
NJOO UJIOKOTEE KIWANJA KWENYE
MTAA MZURI WA KISHUA
USAFIRI UPO MWINGI
BAJAJI 500 DARADARA ZA K_KOO ZIPO NYINGI
WAI CHAPU USICHELEWE MWEZAKO AKILIPIA UTAUMIA SANA
NJOO TAJILI ULIPIE CHAPU
SERVICE CHARGE 15000
TU BARABARA INAPITIKA MBAKA SAITI
0713320608
0686334182