Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
KUTOKA MWENDOKASI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
INA FULL AIR CONDITIONS (𝗔/𝗖) IPO NDANI YA FENSI PA𝗥KING IPO
KODI NI 350000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300
#dalalinyumbanzuri
#dalalikimara
#dalali