Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA WADAU APARTMENT ZETU ZINAFIKIA HATUA YA MWISHO KUKAMILIKA WAHI USIJE UKAKOSA NYUMBA.
------------------
NI APARTMENT NZUR MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 HADI KWENYE NYUMBA, BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO
---------
ZIPO APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
GOROFA KODI NI LAKI 500,000 /=
ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------
SIFA ZAKE =
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
FULL PAVING BLOCK
REZEV SIMTANK
PARKING SPACE KUBWA
----------
TUNAPOKEA MALIPO TAREHE 1/4/2024 ZITAKUWA TAYARI KUHAMIA.
0655256419