Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 ร;6) KIMARA MWISHO # MPYAA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA ANAWEKA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/= ร 6๐
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6๐ TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI 700
BODABODA 1000 - 1500
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300