Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko
Bei:250,000 Kwa mwezi × 6
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 1 Usafiri bodaboda 1000, kama huna haraka unatembea
===
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa
_____