Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NA FAULISHA HAPA LETA MTEJA CHAPU
NYUMBA IPO KIMARA MWISHO
UMBALI WA KM 2 BAJAJI 500 PIKIPK ZIPO UKISHUKA WAINGIA NDANI
ZIPO KWENY FENSI USALAMA WA KUTOSHA
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI
SEBULE KUBWA
CHUMBA MASTER
JIKO LENYE MAKABATI
A/C CHUMBANI AIRCONDITION
HEAT MAJI MOTO
UMEME WAKE
MITER YA MAJI YAKE
BEI NI 250,0000 ILIPWE MIEZI SITA (6)
FENSI KUBWA USALAMA WA KUTOSHA
CAMERA KINA KONA YA KULINDA USALAMA WAKO
No )0677445508
No,0677445508