Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA - KIMARA KOROGWE 250,000 KWA MWEZI KODI KODI MIEZ 6
.
.
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA, JIKO KUBWA, NA SEBULE KUBWA,CHOO CHA PUBLIC (250,000) KWA MWEZI KODI MIEZI 6
.
.
Nyumba zipo kimara Korogwe umbali wa kilometa 1.5 tu toka morogoro road
.
.
Nymba ipo ndani ya fensi parking ipo ya kutosha
.
.
Maji yapo Dawasco & Luku INAJITEGEMEA
.
.
Service charge ni 10,000/=
.
.
Whatsapp:0674596521
Calls:0766808522. / 0674596521