Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X4,5 ,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION KIMARA TEMBONI KM2 USAFIRI BAJAJI BODABODA 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA
SIFA ZAKE
___ _________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347