Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6) AU (250,000X12)KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 15/04/2025 KUONA KAMA ATAKUWEPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
068397453