Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA!! MPYAAA!! MPYAA!! KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA
KODI 150,000X6
LOCATION:KIMARA TEMBONI AUUNAWEZA UKAPITIA
KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SANA NOJIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO WAWILI TUU
YANAFLOW NDANI
NA KILA CHUMBA KINA FENI SAFI
KUHUSUFENS WATAJENGA ILAUSALAMA UHAKIKA
UMBALI NI KM 2.5
BAJAJI 1000
TAKSI 700
KUONYESHWA NYUMBA 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258