Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE HAKUNA, LUKU YA KUSHEA WA 2 NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:
*CALL:
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________
0655256419