Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


LIPA 200KX3 AU 180KX5, 6
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI MITATU (3)
.
.
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
.
.
IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI HII BRBR YA LAMI UMBALI WA DK 10 MPKA 12 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS PIA USAFIRI WA BAJAJI UPO 500 TU
.
.
SIFA ZAKE
#########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE KUBWA SEEM YA JIKO NA CHOO NDAN
.
.
INA TILLES GYPSUM SAFI DRISHA SHATA MAZURI YENYE HEWA LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 IPO NDAN YA FENS PARKING HAKUNA
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
0655256419