Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA SUKA DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
_________________
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
choo cha public ndani kingine
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
nyumba ina vyoo viwili ndani
Service charge 20,000/
Kodi 300,000/=×6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
contact us:
0716223412
0618976024



















