Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
đź’ĄNyumba Mpya,,, Inapangishwa, 400,000/= *6
đź“ŤKIMARA BUCHA (kimara ya mwanzoni)
______
__
• Vyumba 2 vya Kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule kubwa
• Jiko
• Inajitegemea UMEME
• MAJI yanatoka ndani
• Ndani ya fensi
• Parking Ipo
• Madilisha ya Kawaida
#Umbali wa dakika 10 -12 tu kwa Miguu
đź“Ś Note: Mafundi wanamalixia malizia
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 400,000/=
#Service Charge 15,000/=
â„–: 0753-172-516