Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAPA KUNA CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINA PANGISHWA 100,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO
KIPO NDANI YA FENCE PAKING SAFI KABISA MAZINGIRA MAZURI SANA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2.5
USAFILI BAJAJI 1000
DALA DALA 500
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
KODI 100,000X6
MAJI YANA FLOW NDANI UMEME WAWILI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258