Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Hii ni Master na jiko tu (200,000 × 6) KIMARA MWISHO
=======================
*ZIKO 4 KTK COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANAJITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKING SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5
BAJAJI, DALADALA, TAX 700
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
______________________________
NB:HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/3/2024. KUONA NA KULIPIA RUKSA
=======================
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
______________________________
Contact:
0654101710
0787205300