Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT MPYA KABISA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#MAFENI VYUMBA KOTE
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.