Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIMARA SUKA 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700, BODABODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO IMEBAKIA
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453