Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#NYUMBA YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE aina jiko NA PUBLIC TOILET NZURI ZA NJE
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 3, 4, 5, 6
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT