Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
USAFIRI BAJAJI KUFIKA KWENYE NYUMBA UKISHUKA TU UNAINGIA NDANI
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO NI OPENING KITCHEN
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI NA PAKING IPO PIA INA FULL AIR CONDITION
KODI 350000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
KUONA NYUMBA SURVEY CHURGE NI 20000 ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UNAPOLIPIA NYUMBA
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA
0715949085
0782838336