Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000x6) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER NA JIKO
INAPANGISHWA ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA
NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA (2,5)
TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
INA TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW NA JIKO LA KISASA
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW
NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp Number 0689-547258