Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐: Ni apartment ya vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na choo cha public ndani. Ipo ndani ya fensi parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA BUCHA Upande wa kulia kama unatoka Ubungo. Umbali ni dk 10 mwendo wa kutembea kwa miguu kutoka morogoro road
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki nne na elfu hamsini tu (450,000/- Tshs) ร Miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- tu...Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Inapatikana WhatsApp)