Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
BEI NI 350,0000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 350,000/=X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SHILINGI ELFU MOJA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥KUNA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU ILIPWE SAMBAMBA NA KODI YA NYUMBA
0655256419