Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*MASTER BEDROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, LUKU YA KUSHEA NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE#HAKUNA PARKING SPACE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 130,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347