Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
DK 5 KUTOKA STEND STOP OVER
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_______________________________________
SIFA ZA NYUMBA
nyumba mpya
Hizi nyumba zipo tatu 3
Kwenye fennsi
Zoote zipo wazi
Hapa
Inajitegemea umeme NA maji
Ira fensi hii siyo yakuingiza gari ukweli nihuwoo
Ni chumba sebule master bedroom NA jiko
______________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
kodi kwa mwezi ni laki mbilli nanusu tuu miezi sita
(250,000)
X 6
kwa maelekezo zaidi piga simu
0679997610
0658884015
Msigwa
_____