Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA
LOCATION: KIMARA STOP OVER DAKIKA 8 KWA MGUU
KODI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA
UMEME WAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
BARABARA MKEKA ZEGE HADI KWENYE NYUMBA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
ITAKUWA TIYALI TAREHE 1/4/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419