Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE MOJA NDIO IPO WAZI KODI 350,000X4,5,6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA