Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARASUKA ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐๐๐KALISANA
KODI KWAMWEZI 150,000/X4X5๐
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA FULL MAKABATI
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
NYUMBA HAIPO NDANI YAFENS ULINZI WA KUTOSHA
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2๐ USAFIRI BAJAJI MASAA 24 NAULI 1000 AU BODA BODA 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 UPO NDANI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 3 NA HII MOJA NDO IPO WAZI KUONA NAKULIPIA RUKSA KABISAA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 15,000
SIMU
0712656027