Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(100000X6) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER KUBWA INAPANGISWA
UMBALI WA KILOMETA [2,5 ]TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK [3]]
INA TILES GPYSUM SLADING WINDOW
UMEME SUBMITA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258