Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฃ Inapangishwa KIMARA KOROGWE
๐ Kodi 150,000/= ร6
_
______
โข Jiko Zuri
โข Chumba Master
* Inajitegeme UMEME na MAJI
* Maji ndani
* Ndani ya fensi ya waya
* Eneo maalum la kupark
#Umbali wa 1 .5Km, usafiri upo wa bajaji Tsh 700/= au bodaboda Tsh 1,000/=, ukishuka kwenye bajaji unaiona nyumba
___________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 150,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
โ:- 0753172516