Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU TAR 28
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA  YANAFLOW NDAN 
SIFA ZAKE 
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
 0655256419




















