Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA#300,000/=
MALIPO MIEZI 6
--------------------------------
📌Mahali:KIMARA SUKA /TEMBONI (Dsm) 🇹🇿
Umbali:Dakika 6 Kwa Miguu
__________________________
MUUNDO
✔️Vyumba 02 _01 Master
✔️ Sebule nzuri
✔️Jiko Kubwa
✔️ Nyumba nzuri sana
✔️mazingira Mazuuri Tulivu
_________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo Ndani)MITA YAKO
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Hakuna Fensi Usalama mkubwa Sana
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 300,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
___________________________
*HAKUNA CHENI*