Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA KM1 KUTOKA LAMI ZINA KUWA TAYARI TAR 1.9 2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati open kitchen
Public toilet
Maji yana flow
Free WiFi
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Woshing mashine
Electronic fence
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏