Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#KIBALAZA
#SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO
#HAKUNA JIKO HAPA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#SEHEMU YA KUPAKI GARI IPO
BEI NI 150,000/= X 6
ILIPWE LAKI 1 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA AU BAJAJI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300