Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(280,000 × 6) KIMARA MWISHO
Nyumba ya kuwahi hii ndugu mteja haikai
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 280,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI HII NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 280,000/= × 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA SH 500
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300