Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA
KODI 100,000X4/5/6
CHUMBA MASTER KIKUBWA KIZURI SANA
KINA PANGISHWA KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2.5
BODA BODA 1000
BAJAJI 700
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUB METER
IPO NDANI YA FENS ILA FENSI YAKE SIYO YA KULAZA GARI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0677445508