Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI MPY YA KUPANGA.
KIMARA BUCHA 500K
SEBULE KUBWA,
VYUMBA V2 VYA K ULALA
KIMOJA NI MASTER
JIKO
PUBLICK TOILET
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
NYUMBA INA TAILS
GIMPSUM
G
MADIRISHA YA KIOO
MAZINGIRA MAZURI NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
HAPA KUNA APATMENT 3 NDANI YA COMPOUND 1
NB: PICHA ZA NDANI JIONI FUNGUO IKIPATIKANA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347