Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA FAMILIA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 250,000/= x 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
🎤 NAMFAULISHA MTEJA WANGU HAPA ANAONESHA NYUMBA SEHEMU ZOTE NA UKILIPIA TUU KESHO MTEJA ANAHAMA CHAPU KWA HARAKA
💥KUONESHWA NYUMBA SERVICE CHARGE NI SHILLING 15000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact;
0654101710
0787205300