Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAHI BARABARANI KABISA KODI 250K
CHUMBA MASTER, SEBULE ,NA JIKO
KIMARA STOP OVER
DAKIKA 5 KWA MGUU
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
ILIYO WAZI NI YA CHINI HAPA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710🏠wahiii