Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 200k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Kilomita Moja Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 500 na Boda 1000.
Barabara ni Lami Mpaka Jirani na Getini
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kikubwa cha Kulala
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU INAJITEGEMEA na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 Whatsapp