Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X5)KIMARA STOPOVER
——
NYUMBA ZINAPANGISHWA
➖➖➖➖➖➖➖➖
MAHALI:KIMARA STOPOVER 1.7KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
NDANI YA FENCE
➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI:(250,000X5) FIXED
➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA CHOONI
WATER RESERVE TANKS
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
NOTE: 👉🏿NYUMBA HII NAFAULISHA MTEJA WANGU UKILIPA TUU ANAHAMA AMEAMISHWA KIKAZI:👈🏾
PIGA CM. 0656623510
WSP 0752436347