Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
💥NYUMBA MPYA!!!, Inapangishwa, KIMARA MWISHO
📍Ziko Aina 2 tofauti soma maelevyo kwa makini
______
__
★AINA YA 1:
• Chumba Master Kubwa
#Bei 120,000/= *6
_________________________
★SEHEMU YA 2:
• Chumba Master kubwa
• Sebule kubwa
• Jiko linafungwa makabati
#Bei 250,000/= *6
_________________________
★SIFA YA ZOTE
* Inajitegemea UMEME
* MAJI yanatoka ndani
* Ndani ya fensi
* Parking
* Paving blocks Zitawekwa
* Garden itatengenezwa
#Umbali wa km 2 tu, bajaji 700, ukishuka unapiga teke mlango
📌 Note: Inakuwa tayari kuhamia tarehe 10/04/2024, kulipia ruksa
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni hela ya mwezi mmoja
#Service Charge 15,000/=
№: 0753-172-516
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumba #dalali #simba #yangasc #udsm #mangekimambi #udaku #millardayoupdates #nbcpremierleague #realestate #kariakoo #udsmupdates