Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#CAR PARKING
BEI NI 400,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII KUBWA IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NI UPANDE WA BARABARA YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ
#0785889413
#0785889413