Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Temboni
🕑Dakika 5 Kutembea Toka Morogoro Main Road. Barabara nzuri Kwa Magari yote
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili,Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Public toilet
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Air Conditioner
🔹Fenced Car Parking & Garden
👉Moja Ya juu Hapa Ghorofani Inakuwazi Tar 07/06/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
🔶Kodi Tsh 450, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 450, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊