Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA
NYUMBA NZURI YA KUPANGA 250K X6
KODI LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA ZA KWENDA MJINI
SIFA ZAKE
#CHUMBA_MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWAA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAINA FENSI MAZINGIRA TULIVU USALAMA WA KUTOSHA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU KUMI NA TANO MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419