Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA MPYA KABISA ZINA PANGISHWA NA IMEBAKI MOJA TU KIMARA STOP OVER DKK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA 1000 KODI 250,000X6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
CHUMBA MASTER
SEBLE KUBWA
HAKUNA JIKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
INA SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO AMBYO NI YAKO WEWE TU.
TILES
GYPSUM
MAJI YANA FLOW
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347