Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA
Mahari :--
KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BEI NI LAKI 700,000/=X6 ...5...4...3 MWISHO UNALIPA
HII NYUMBA INA VYUMBA2 VA KULALA KIMOJA MASTER PIA INA PUBLIC YA NDANI
FULL A/C
INTRERNT
JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
UMEME NA MAJII
Service charge 15,000/=
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0677370515