Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment MPYA KABISA Inapangishwa KIMARA MWISHO
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI
MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 600,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.